2/13/2023 0 Comments Ufafanuzi wa kitabu cha ufunuoLakini hujui kuwa wewe ni mnyonge, mwenye masikitiko, maskini, asiyeona na uko uchi. Unadhani ya kuwa umekuwa tajiri na huhitaji kitu chochote. Hivyo niko tayari kukutema utoke mdomoni mwangu. Ninatamani kama ungekuwa moto au baridi! 16 Lakini wewe ni vuguvugu tu, si moto, wala baridi. Huu ni ujumbe kutoka kwa yeye aliye Amina, shahidi mwaminifu na wa kweli, aliye chanzo cha uumbaji wa Mungu.ġ5 Ninayajua matendo yako. Barua ya Yesu kwa Kanisa la Laodikiaġ4 Andika hivi kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia: 13 Kila anayesikia hili azingatie kile ambacho Roho anayaambia makanisa. Unateremka kutoka mbinguni kwa Mungu wangu. Nitaandika juu yao jina la Mungu wangu na jina la mji wa Mungu wangu. 12 Wale watakaoshinda watakuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu. Ishikilie imani uliyonayo, ili mtu yeyote asiichukue taji yako. Hivyo nitakulinda wakati wa shida itakayokuja ulimwenguni, wakati ambapo kila aishiye duniani atajaribiwa.ġ1 Naja upesi. Nitawafanya waje mbele yako na kusujudu kwenye miguu yako. Wanasema kuwa wao ni Wayahudi, lakini ni waongo. Ninajua wewe ni dhaifu, lakini umeyafuata mafundisho yangu. Nimeweka mbele yako mlango ulio wazi ambao hakuna anayeweza kuufunga. Na anapofunga kitu hakiwezi kufunguliwa.Ĩ Ninayajua matendo yako. Huu ni ujumbe kutoka kwake aliye mtakatifu na wa kweli, anayeshikilia ufunguo wa Daudi. Barua ya Yesu kwa kanisa la Filadelfiaħ Andika hivi kwa malaika wa kanisa lililoko Filadelfia: 6 Kila anayesikia hili azingatie kile ambacho Roho anayaambia makanisa. Nitawakiri mbele za Baba yangu na malaika zake ya kuwa wao ni wangu. Sitayafuta majina yao katika kitabu cha uzima. 5 Kila atakayeshinda atavikwa nguo nyeupe kama wao. Watavaa nguo nyeupe, kwa kuwa wanastahili. Hautajua wakati nitakapokuja.Ĥ Lakini una watu wachache katika kundi lako hapo Sardi waliojiweka safi. Geuza moyo na maisha yako! Amka, la sivyo nitakuja kwako na kukushtukiza kama mwizi. 3 Hivyo usisahau kile ulichopokea na kusikia. 2 Amka! Jitie nguvu kabla ya nguvu kidogo uliyonayo haijakuishia kabisa. Watu husema kuwa u hai, lakini hakika umekufa. Huu ni ujumbe kutoka kwake Yeye mwenye roho saba na nyota saba. 3 Andika hivi kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi:
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |